Pumzika.
Pharmacy inajiendesha.
Famasia ni mfumo wa kisasa wa kuendesha pharmacy yako — stock, mauzo, expiry, na hesabu — yote mkononi mwako.

Inatumiwa na zaidi ya
70 famasia nchini Tanzania.
Kutoka Dar es Salaam, Mwanza, Arusha hadi Mbeya — Famasia inawasaidia wamiliki wa famasia kuendesha biashara zao kwa ufanisi. Weka kipanya juu ya mkoa wowote uone.
Weka kipanya juu ya mkoa wowote — dots ni miji 12 tunaohudumia.
Kila kitu unachohitaji,
mahali pamoja.
Famasia inakupa zana zote za kuendesha biashara yako ya dawa kwa ufanisi — kutoka stoo hadi malipo.
Bidhaa
Simamia stoo, batches na tarehe za kuisha. Tahadhari ya stoo ya chini moja kwa moja.
Mauzo
POS ya haraka — uza kwa skani au kwa mkono, chapisha risiti, fanya marejesho.
Madeni
Fuatilia madeni ya wateja, tuma vikumbusho vya SMS, na pokea malipo mtandaoni.
Sokoni
Agiza dawa kutoka kwa wasambazaji. Linganisha bei, fuatilia oda na pokea bidhaa.
Malipo ya Selcom
Pokea malipo ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na kadi — yote kupitia Selcom.
Muhtasari wa AI
Ripoti ya kila siku iliyoandaliwa na AI — mauzo, faida, dawa zinazoisha na zaidi.
Hatua tatu, dakika tatu.
Sajili
Fungua akaunti kwa dakika moja kwa nambari yako ya simu. Hakuna kadi ya benki inayohitajika.
Ongeza dawa
Ingiza stoo yako kwa skana, CSV, au kutoka katalogi yetu ya zaidi ya dawa 5,000.
Anza kuuza
Tumia POS, fuatilia madeni, pokea malipo, na ona ripoti — popote ulipo.
Kila mtu na nafasi yake.
Toa ruhusa sahihi kwa kila mfanyakazi. Fuatilia kila kinachofanyika kwa usalama kamili.
Mmiliki
Mtu mkuu wa biashara
Msimamizi
Anasimamia shughuli za kila siku
Mfamasia
Anauza na kushauri wateja
Muuzaji
Anarekodi mauzo yake tu
Bei nyepesi, faida kubwa.
Chagua mpango unaokufaa. Badilisha au ghairi wakati wowote.
Kwa famasia ndogo & ADDO
- Famasia 1, watumiaji 2
- Dawa 500, batches & expiry alerts
- Mauzo & wateja
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi
- Ripoti za msingi (PDF/XLSX)
- POS na rasiti
Kwa famasia ndogo & ADDO
- Famasia 1, watumiaji 2
- Dawa 500, batches & expiry alerts
- Mauzo & wateja
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi
- Ripoti za msingi (PDF/XLSX)
- POS na rasiti
Kwa famasia ndogo & ADDO
- Famasia 1, watumiaji 2
- Dawa 500, batches & expiry alerts
- Mauzo & wateja
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi
- Ripoti za msingi (PDF/XLSX)
- POS na rasiti
Kwa famasia ndogo & ADDO
- Famasia 1, watumiaji 2
- Dawa 500, batches & expiry alerts
- Mauzo & wateja
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi
- Ripoti za msingi (PDF/XLSX)
- POS na rasiti
Kwa famasia zinazokua
- Vyote vya Hobby
- Watumiaji 3
- Dawa bila kikomo
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi (PDF kwa wasambazaji)
- Madeni & malipo ya mkopo
- Arifa za WhatsApp + SMS
Kwa famasia zinazokua
- Vyote vya Hobby
- Watumiaji 3
- Dawa bila kikomo
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi (PDF kwa wasambazaji)
- Madeni & malipo ya mkopo
- Arifa za WhatsApp + SMS
Kwa famasia zinazokua
- Vyote vya Hobby
- Watumiaji 3
- Dawa bila kikomo
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi (PDF kwa wasambazaji)
- Madeni & malipo ya mkopo
- Arifa za WhatsApp + SMS
Kwa famasia zinazokua
- Vyote vya Hobby
- Watumiaji 3
- Dawa bila kikomo
- Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi (PDF kwa wasambazaji)
- Madeni & malipo ya mkopo
- Arifa za WhatsApp + SMS
Kwa famasia za juu
- Vyote vya Premium
- Matawi 3, watumiaji 7
- AI Digest ya kila siku
- Wasambazaji & stock receipts
- Ripoti za matumizi & faida
- Push notifications kwenye simu
Kwa famasia za juu
- Vyote vya Premium
- Matawi 3, watumiaji 7
- AI Digest ya kila siku
- Wasambazaji & stock receipts
- Ripoti za matumizi & faida
- Push notifications kwenye simu
Kwa famasia za juu
- Vyote vya Premium
- Matawi 3, watumiaji 7
- AI Digest ya kila siku
- Wasambazaji & stock receipts
- Ripoti za matumizi & faida
- Push notifications kwenye simu
Kwa famasia za juu — Maarufu
- Vyote vya Premium
- Matawi 3, watumiaji 7
- AI Digest ya kila siku
- Wasambazaji & stock receipts
- Ripoti za matumizi & faida
- Push notifications kwenye simu
Kwa minyororo ya famasia
- Vyote vya Professional
- Matawi & watumiaji bila kikomo
- AI demand forecasting
- Wholesale + retail pricing
- Ripoti maalum & data export
- Msaada wa VIP (dedicated WhatsApp line)
Kwa minyororo ya famasia
- Vyote vya Professional
- Matawi & watumiaji bila kikomo
- AI demand forecasting
- Wholesale + retail pricing
- Ripoti maalum & data export
- Msaada wa VIP (dedicated WhatsApp line)
Kwa minyororo ya famasia
- Vyote vya Professional
- Matawi & watumiaji bila kikomo
- AI demand forecasting
- Wholesale + retail pricing
- Ripoti maalum & data export
- Msaada wa VIP (dedicated WhatsApp line)
Kwa minyororo ya famasia
- Vyote vya Professional
- Matawi & watumiaji bila kikomo
- AI demand forecasting
- Wholesale + retail pricing
- Ripoti maalum & data export
- Msaada wa VIP (dedicated WhatsApp line)
Pakua sasa.
Famasia inapatikana kwenye iPhone na Android. Pakua bure leo, anza ndani ya dakika moja.
iPhone, Android, na kompyuta — kiungo kimoja, kinachojua kifaa chako
Au tembelea console.famasia.app kutoka kompyuta yako, au jaribu demo bila kujisajili.